USIKU SACCO

Form nikuchunga servers apa, ni December wasee lazma tunakaa radar

Alafu niulize @kush yule mnono aka FATSO alienda wapi??? Inakaa biz ya kuosha tumizee e-ti-na ndio iko peak…

Pink handle moja ajitolee aeke mbisha ata ya elbow siwez mind

Ama mtu aeke screeshot ya Kilimani Mums tufanye discussion apa (adjusts bra)

Anyway acha nkalale, mathe amedai anataka tokens zifikishe Dec

2 Likes

3.11am ndio naamka

MZEE mjinga

1 Like

Fri na weekends watu hukua inactive hii village

Hakunanga net ya job kwa watu wengi

2 Likes