Usiku Sacco

Hebu mark register hapa nauseme uko wapi,
mimi niko Mundeke na tuko na polisi lakini tume jifungia ndani

2 Likes

0116Hrs somewhere in Mountain View nikikata shamba.

Yap yap… somewhere in Mwea,

1 Like

Reading a book and Carried away by a love story here.

3 Likes

Okay, Persia

1 Like

Tucked in bed watching shaka zulu mini series

3 Likes

kusema ukweli will be online all nigh, from the time inooro tv iliaza mimi na cheki tu, the market is ripe for new goodies and new faces,
watu wa fta na meria we are coming
anything thy are doing we can do it better

https://www.youtube.com/watch?v=fPaWeOEJoAs

1 Like

Nko kwenye room nacheki movie ingine hapa ya ki.nigeria

1 Like

watching the the circuit on CNN

2 Likes

Naendea mzinga ya eddy vodka ya kupumzika nayo

2 Likes

Just finished this book…
https://images.duckduckgo.com/iu/?u=http%3A%2F%2Fupload.wikimedia.org%2Fwikipedia%2Fen%2Fd%2Fd5%2FBernardCornwell_ThePaleHorseman.jpg&f=1

6 Likes

Some woman died RIP, and they are playing very loud music kwa hiyo matanga… Usingizi ndivo jivo imenipotelea

tudor kuna maneno
hapa bamburi tulisema ni mpaka saa sita

I have listened to everything from Jamaican ragga,to Naija whatever n bongo shit

Somebody’s trying to steal my father’s chickens. Nimekuwa watchman…

7 Likes

nyumba kumi mtu nguyas, mpe @Wakanyama hii kazi uuone vile tutaifanya

2 Likes

Niko mayakos na mvua ndio imenyesha saa hii for the first time in ages.

1 Like

could it be el-nunu

weka mbisha

1 Like

Loungers karibu na casa b,poko washed sana,nani ako karibu ninunue chupa 4