Usiku Sacco

Ni pombe gani uli swear htawai kunywa tena ata ukipewa bure?
Niko home base na phombe inamwagika kaa mvua lakini haishiki.
Catching up on old times.
Mark register
Niko Ebony

1.Atlas 16%
2.Absinthe

Any kind of spirit, from Kenya Cane to Whatever.

Beer and Murat for life.

Leta hekaya in full

Any homemade wine sitawahi guza. Nilipewa one bottle and I was so excited until 2 hours after I drunk. Thank goodness I was at home. Nimelewa na tumbo inaleta kujua. Bad memory

Guka ulikataa Ku cum
Hapa naitwa mkubwa, boss, chief na mheshimiwa na watu ata sijui

Ustake kujua.

Bluemoon vodka and napoleon brandy. Used to take them in campus until I heard they are not made from natural products.

Mimi na pombe nope

Chang’aa hiyo fobe ilinipea hangover ya three days. Nililala lecture hall kuamka niko class ya fresher’s wakifanya CAT.

:D:D

Woooooooooooooooi munene wacha kufanya niskie vibaya. Ni vile nilikuwa nimeshikana kiasi…

Were kwanza uko na fine

Hakuna mtu alikukatia hiyo time yooooooooooooooote? Hata Mama Cham?

Najua munene. Pole bro. Will make up for it.

VC hekaya ya chibuku na Kenbrew iko wapi?

I am at home enjoying watching yesterday’s walevis recovering from yesterday’s damage. Not sorry for them as they are revving up to come round here and watch the fireworks from my digs:mad: on 31st.

Napoleon tulimesa mzinga after kumeza fkombe ka ghasia…
Nilienda nikalala kwa sofa nikajisahau, woke up early morning nikapata niko kwa auntie yangu nimekojoa kwa sofa around 40 liters nearly half the sitting room flooded…
My cousin uses to hide a key and in my stupor nikaona hapo ni karibu…
Slowly tiptoed nikaacha. Watu kwa nyumba nikajipa shughuli…
2 days later met my aunt very agitated, wewe umeona Kevin (my cousin)…
Me: Kwanini si bado ako college…
Her: Akuna… Speaking in vernacular(dear God hii ni uchawi ama ni nini)

Where’s your digs?

For me it’s ‘rururungana’.
It’s the Maasai equivalent to Muratina.
I think I puked for three days straight!
It’s a rite of passage where I’m from and I was only 17 but I wouldn’t wish it on my worst enemy.
Hiyo ata ikikaangwa sigwes guza!