Usiku Sacco

Wadau saseni. Leo Manchester United won and am sleeping with my Jay’s on.
How was your weekend mmefanya nini ya maana? Ulipeleka familia wapi?

Mimi leo nimetembelea huu mlima na kuko sawa. Kama uliona jamaa who had a drop dead gorgeous lass on his arms ungeshout KTALK hoyee nikushikie nyam chom in that dusty town. Covering all those hills aint easy though

[ATTACH=full]159605[/ATTACH] [ATTACH=full]159607[/ATTACH]

oya NV huku ni Ngong Hills!

NV kojoa ulale

NV ni umbwa in my eyes

Anko ati mumekulwa ngapi kwa mkia

Yep

Usiku mwema. [ATTACH=full]159615[/ATTACH]

Kwa desk nacheka sana msee ako hapa aliwekea Chelsea 13k …

Wapi mbicha ya drop dead gorgeous lass?

Base ya pork imekuwa rebuilt.
[ATTACH=full]159616[/ATTACH]

nunua simu ya maana utupe hio pinwhore camera

Umbwa…
Pesa ni ya petroli.
[ATTACH=full]159618[/ATTACH]

Hio place ukiepuka minyoo za pork cholera haikuwachi omwami.

Mikebe tatu ya Arimis…

hio imekonda mpaka haijai kuwa featured…the midget mongrel ni cover up. :D:D

:D:D
Huyu ni wa kuchunga miwa mashinani.
Midget atajifanya alumnus wa St Andrews Turi huko.

ni sly na huyo mwingine ni wife wa ocha:D:D

:D:D:D pea umbwa chakula hata kama ni githeri

Cheppart hapan tambua maharawe…

Niaje Ondiek?

engui niaje , miwa full ni how much saa hii ?