MMNN:
Campaigns end tomorrow 6pm; including all political advertising on print, radio and TV ~ IEBC
-you have less than 18 hrs to post all your canaan jokes.
Ni gani imekubamba sana?
Mark register
Walevi tukienda canaan tutakuwa leviticus, pints at undisclosed lokeshon *hic VAT mpaka 69
Wakikuyu wakifika Canaan wataishi kwa garden of Gethse-money
Hey you…team voter apathy tukae wapi:P…
Siku hiyo vote yangu itakuwa kwa ciroc ama sangria…gd nyte gd pple
Niaje @Purr_27
If you dont vote usikuje kulia lia hapa serikali saidia
Wakanyama is this you¿¿ wassup
[ATTACH=full]117007[/ATTACH]
[ATTACH=full]117008[/ATTACH] [ATTACH=full]117009[/ATTACH] [ATTACH=full]117010[/ATTACH] [ATTACH=full]117011[/ATTACH] [ATTACH=full]117012[/ATTACH]
Mrembo team apathy mtaenda panathnaikos huko greece, hakuna canaan
Serikali yako iko kwa crotch area
Raila made langata his cannan and we all know vile kuko
Nah, just a friendly figure
Freak road accident in naivasha, canter imegonga guardian bus kati kati ya bridge… Nairobi Nakuru highway blocked off[ATTACH=full]117016[/ATTACH]
Siwes lia
Are you sure?
@Purr_27 ulipotelea wapi?