maze hii baridi imesidi.
wacha nkalalishe makei.
kina @Eng’iti night run pole pole
sacco is open
maze hii baridi imesidi.
wacha nkalalishe makei.
kina @Eng’iti night run pole pole
sacco is open
Tiredness and insomnia are practically having a trial on me.
kuja ukunywe tuska moja momo1
Screw Nairobi water
Hayeeh! tupo nipo wapo hapo mumo humo
23:33 it was a veery slow day in the village
Would trade that baridi anytime for the heat that we are encountering at moment. Joto sana. o_O
https://www.youtube.com/watch?v=7lczIvGBaY0
Nasukuma na hii drop leaf riddim kiasi.
@culture alienda wapi. nimepata story ingine muoto inatrend kule KMDU. ama nifungue tu salon?
Mie nashukuru mungu, should have been dead long time ago.
Life is short my friens, live every minute as if it’s your last.
Wrink
Apana tambua water problems huku suburbs
@Gio ndiye anacomplain hajaoga Leo.
Fungua tu.
Hapo naye ni ukweli Elder Tasteman. Kama sio Polisi, ni Kanju, kama sio KU students ni madaktari…sana sana polisi… mola apokee shukrani zako…
Rudishia Elder Tasteman title yake bwana. Kwani next title inakuja after how many likes na comments?
Ikifika hapo Hua naita @Jazzman
Kunywa maji ya borehole pole pole NV.
Nimefungua late night salon
Udaku Sacco - salon iko wazi - Sex & Relationships - Kenya Talk
Stage after village sponsor mtu anaweza jipatia custom title.
Mambo ya titles we all agreed na tukafunga chapter yake, hakuna haja ya kuanza vita tena kwa kijiji