Usiku sacco

Siyui niseme nini, hii kijiji hunimaliza, am parking my truck kaa sioni mbele alafu nasoma story ya @Adeudeu na simu, Jeeeeeeso mwathani, @admin pea yeye cheo ya VS saa hii nitalipa na the 10000 credits I have.
Ngai! Nikimeet huyu @Adeudeu expect the first colabo hekaya.
Hio itakua movie.
Welcome to usiku sacco.
How was your Sato?
Mie nilikua na shine macho Kilifi County.
[ATTACH=full]104771[/ATTACH]

Enyewe Epl kuisha inanicost.After a long day with patients am tired and bored.Am out.

I read in the news you released all mental patients, kwani nani alibaki? Asking for a friend

Hehe wale wa isolation bado tuko nao na wa accidents pia.Wendawazimu wetu bado tuko nao hatujawachilia…

1 Like

Leo nilikua na hapo pako nikaogelea zaidi

2 Likes

Sorry to bring this quote here.

But have you ever met those fake Masai conmen with golden stuff inside a small glass tube that you can’t open and the only way to affirm if it’s gold was by breaking it!! My aunt lost 5k in that con game.

1 Like

uliogelea kwa ama kwa changarawe?

Kwa maji. Huwa mnaumwa na kichwa mkikaa kwa maji for long(10 mins) naumwa sana

1 Like

[ATTACH=full]104773[/ATTACH]

2 Likes

Toa helmet:D

2 Likes

no. lakini we get uncomfortable tukikosa kuoga, for example example, tunaweza usingizi or feel uncomfortable when with friends or so

Fala hii drink ilisemekana ni ya watu aged 70yrs +1. Ask @M2Random

Hip hip horayyyy
@mukuna ameoga Leo.
Hehehe
@Ice_Cube hebu ingia kwa archives watu wajue kwanini mukuna haogi
Weka wrink

Yaani hata nikiwacha makali hamuniwachi?

Na @admin huyu icepubes apewe cheo kubwa.
He is always there for us
Ama namna gani @gashwin
Talkers wa nguvu wawe recognized ama…

Hmmm
Ebu niachie hapo

unifunze grammar kwanza

@Meria Mata naona yule daktari wako @jumabekavu ni bure kabisa. I haveen waiting kuskia kuku zikiwika kwa minyoo lakini wapi…furuta yeye kasi.

Na @mukuna hiyo yako ya kuoga ni hekaya…wapi mbica hata ya kishwa ikiuma

Shhhhhsh
Tulia kidogo…

@xuma uko wapi utusaidie kwa msamiati

usha toka coast kwani

1 Like

01:40 full of insomnia.