watching -The Good, The Bad &The Ugly on video cassette. real oldskul like…
Chonjo,miti imetii mbaya na roots mwenda kama kawa though PM amenuna kiasi sijui kama nitafikisha threshold.
Classic
Theme song is my ring tone.
Kali mzitoh! what make n model is your machine…
Naskiza mtombomix nikiremenisce the days when I was a hopeless romantic…
Sasa Red Pill imenifungua macho ata sipendeki
Real tbt,
Aweke mbisha au sio?
Ama ni Heka…
@Lola ,uko wapi chairlady?
Kabisa! Awache kutuchocha.
Tuko
Sony-x315
I dusted it off a few days ago and it still works. kitu mzee kuliko watu wengine hapa!
mkuMbwa uko sawa kweli…punguza bhang
hehe Red @kiLo- kuna shemeji wako anataja rodent ingine hapo ambayo hampatani nayo :D…
Karibu nyumbani
Jenga shelf poa uisimamishe ndani. I am also going retro by buying those ol’skool hifi separates…
na…ahem…mbisha ikam venye Elder Tasteman amesema…
Kesho morning after import imeingia the last Spanish naweka mbisha ya video mashine
Hata mimi ninayo, but it wasn’t initially mine. Jamaa alichoka nayo akaamua anaitupa. Nikamshow anipe. Shida sasa sina VHS tapes za kutest kama inawork…
Want mutura from the source
nimejaribu kuweka picha lakini zinakataa
I’ll definitely upload them
I have a small collection ranging from most bond films to sarafina to the deltaforce trilogy, the matrix
We just wait a few more years na hizi vitu ni antique, still looking for a jukebox
Just sleep on it, in twendi yrs it will be a fortune