Usiku Sacco

@Meria Mata naona import uko naye ni exotic mpaka umesahau chama hiki cha watembea gizani.

Anyway,

[MEDIA=facebook]1228226617288320[/MEDIA]

Sijui kikale kwa hivyo subtitles may be saying something different. Someone confirm…

5 Likes

Hi itaitwa Usiku Sana Sacco.:slight_smile:

4 Likes

Wacha watakuja watueleze

2 Likes

Hayeeeeh! Wacha nikalale mimi…

Present representing night runners vitunguu lazima zinuke time check 2.22

Naona mvua na leta shinda kwa warogi !

4 Likes

Usiku sacco closed
@Fala 12 njoo unione kwa offisi

Hakuna kuderail hii sacco .

@Jazzman then this followed after bragging

https://www.youtube.com/watch?v=9oEiQtTvWY8

1 Like

Then Fala anasema anatakuwa kuwa president ya kenya 2022 and foolish ones see leadership traits in him to a point of calling him “uncle”. Kenyans aren’t stupid anymore. Afadhali baba yao 100X

1 Like

hii inaitwa siasa duni iwekwe kwa uzi wake wa siasa. SACCO yetu ibaki sacco ya mambo ya usiku…

2 Likes

Wacha kuwa hivyo

1 Like

Aje bro?

1 Like

Have sense if you don’t keep silence

@Abba uliendanga wapi men? Inchwo upewe NV seat

2 Likes

@Abba tukonayeye katika harakati za kutafuta tickets za maiden trip ya SGR, we are going to beg rob or steal na tukikosa tutumie press card ya MMNN

1 Like

Hujasahau:D Baado nangoja thermostat to overheat then we can discuss politics over glass of beer.they will be bringing new thermostat from Germany meanwhile

1 Like

Thatha niko. I’ll be common from next week wakati nomineshen imeiisha

Kazi mpaka iendelee kunyeshe kusinyeshe

1 Like

How is the deputy president bragging about stealing public land siasa duni?

Is that land, meant for the development of a public SCHOOL not worth being mentioned?

1 Like