Usiku sacco

@introvert checkout this mbeast ya SPIKE,
[ATTACH=full]93731[/ATTACH]
Time to mark register ukituambiaga how was your day na mipango ya Easter weekend

2 Likes

[ATTACH=full]93732[/ATTACH]

[ATTACH=full]93733[/ATTACH]
Nilisahau ku-edit hii iwe in a Kenyan context. Iko mtu anafaa kuona hii.

[ATTACH=full]93734[/ATTACH] [ATTACH=full]93735[/ATTACH]

2 Likes

Woi!!! Hata return leg hapa sioni Barca wakijitoa… HAYEEH!!!

Mi nafita tu. Tarudi during the witching hours kama kawa

Niko najaribu kuona kama pombe na sigara nitawwcha ama nipunguze,haizinipeleki vizuri@meria mata,how’re things?

Nimeshida siku yote nakota data na gps alafu najaribu ku transfer kwa comp inakataa. haki hizo waypoints zikakuwa zimepotea nimeisha

Hiyo import ya easter… ikiwa yahitaji kubebwa kwa hiyo SPIKE, …ama acha tu!

2 Likes

Niko area

Nimeisha mimi, I am finished!

1 Like

insomnia

Nimekuja kufunga sacco nikapatana na @Afro kwa corridor akienda kufungua Afrojiri.

1 Like

:smiley:

Kenworth.
Very nice.
I have photos of me and my boys in this truck.

BARCA , POOR TEAM SELECTION INAWAMALISA

So far so good, nilipata mtihani mgumu lakini nilipita

how to say the love words … http://www.wedskenya.com/