Usiku sacco

23:46

Naona @Mundu Mulosi pesa ya moderator haitoshi akaamua kukuwa endaprenuwa…

[ATTACH=full]85217[/ATTACH]

3 Likes

Hongera!!
Mbarikiwe nyote.

2 Likes

@Web Dev @Eng’iti na yule jamaa mwingine kwani mlichapa shoti za uzito same month? Ama mlijochocha? @Ice_Cube ebu angalia topics za 9 months ago ktalk kulikuwaje

5 Likes

Salimia yeye mwambie kuna mtoi wangu mkikuyu anazaliwa this year akuwe bibi yake

2 Likes

Congrats buda. Kura za UOTP zinaongezeka.

2 Likes

…Nimetoka job saa hii, kufika hood ‘gitaru’ napata a large crowd kwa stage ya kuelekea wangige… opposite, probox fulani, parked somewhere with 4 dead men… it’s been there for two days, Hakuna damu, its tinted…nimeogopa

2 Likes

Hehehehe cheza chini

Nakamuliwa na report hapa sijui nitalala saa ngapi.

Yeh niko within…

Apana tambua shida ya maji sisi huku lower karen

Pitia hiyo rocal iko kando ya Tuskys nikushikie mbili za congrats kesho

2 Likes

@Ice_Cube juu umedoze hii thread kesho apana reply.:smiley:

3 Likes

Kesho nakuchapia.

Nakambia usiku kakiamka

1 Like

Hehehe.
Napatiana congrachuleshens banaa.

1 Like

Shait, that was reply ya @Jazzman
. Ebu chora hawa 3 ktalk February dads. @Web Dev @Eng’iti na @Yollo

3 Likes

Kasalimie pamoja na mama

1 Like

Nakuona Title yako ishaa badilika…

Inbox basi

Quadrey anzisha thread na uweke hizo mbicha

2 Likes

Strangely, I had started already.
Wacha niishelf kidogo.

1 Like