Wakukimbia wakimbie Wa kufanya ukulima walime wakunyonya wanyonye etc etc
Goodnight
Ndathii toro
Na wakunyonywa wanyonywe?
Present, watching Genesis open on super sport 1, it’s always amazing how the commentators can’t pronounce kikuyu grass, yet it’s a defecto standard on PGA courses fairways.
Guys resort to calling it keikuya grass
time sheck 23:23
umuthi ni night farming
Hee atiriri , woriire Ku?
Kabisa
Hehehe wee niurakoma ukariganirwo ni wira, ugate cafi, niwamenya Kuria diracirogotire IRA?
Threshold nimefikisha lakini insomnia inanisumbua kama sycophants.
Yaani Kill the Mbuzi alifanya @Fala 12 achujwe usiku Sacco kabisa?
@Meria Mata samehea Fala bwana
Mi niko tu. Hifi hifi tu. Nothing to report. Umeffi nimekuta huku unekidepress. As if I ain’t already
Mimi jana Dem akanicall akasema atakuja leo, like sikumwita. Leo si nimengojea, kupiga simu 11, reply was that anaoga. Nikasahu hiyo story got engrossed in work. Kufika 4 kupiga simu hashiki, nikasema tu nimecheswo hapa wacha nikauke. jioni kuingia IG naona nyangau ameweka picha vile alikuwa akivuta Sheesha. Nikakumbuka mawaidha ya @Father Figure na kukunja mkia
Hiyo ni kunguru ,in between nitakutembeza siku moja uone mahali hizi kienyeji za Instagram huenda mchana,hii Nairobi iko na vituko.
We have to let go things we cannot control. But in the process, a heart Is hurt as we let such things slide. Isorait.
Good night.
Present,
Import inasumbua, eti hataki harufu ya woody
jaber what’s up? Nipitie Woman cave Nairobi West Kesho uniambie?
Kuna Moja nilipelekwa na Okiya na Incognitus, wacha tu…
Ni huko:D:D:D
naona unafanya kazi ya personal ASSistant vizuuri
[ATTACH=full]84300[/ATTACH]