Usiku Sacco

Yule fala amechelewa kufungua Sacco, sign register kule uko na unakunywa nini. I am exhausted, sioni nikienda kazi kesho

Tupo tumekwama na napoli

1 Like

2310hrs listening to BBC

sacco hufungiliwa after 23:00 hrs siku hizi so uliifungua mapema kobe brynt

4 Likes

Watching real vs napoli

00:00hrs MPT

Bayern imetukamua,Judas eskariot ulileta swara mchana,isorait,isokei.

01:03 Busia Sofia…Famous Grouse 350ml.

Niko na relatives hapo Sofia next time holla utafutiwe musamia musafi.

nataka kuona @Touchlyrics na @uwesmake mtaa yao…

kusoma code ya hawa wasee

[ATTACH=full]83790[/ATTACH]

nabadilisha diaper n rocking him to sleep again,naona itabidi nianze kuchana goks,hehe

1 Like

kayole massive.