Niko Mundeke na walevi wanaargue about the new soon to be built Nyali bridge, eti itakua ya gorofa over the current one, hapa naona nikiwa ref fight ikianza.
Hebu mark register na useme uko wapi and how your day was.
@Fala 12 keti paleeeee - - - - - - - - - - - - - - - - - - - >
Niko @Lola- na mzinga ya JD
hata wewe @Meria Mata keri pareeeee ---------------->
Rehe shavi Chia sacco
Eating my usual veges.
Btw @Meria Mata which is the best bike for a 15 yo, who is weighty kidogo. I am tired of repairing one here with unpronounceable China name. Budget 20k.
Ndio napika supper… Sema kumwaga unga mob kwa maji na sikutoa maji mengine vile ilifika boiling point. Leo nakula ugali haijaiva
Hapa ni Elburgon niko lumbering kazi ya msitu ni kwa giza.
Niko kwa palace yangu naskia Rhumba on KBC radio
Niko hapa Embobut, tayari nimetulia nikimsikiza Donnel Jones mdogo mdogo
…Niko area Za Kariene, very cold lakini kitunguu lazima…
Ndio nimefika mtaani wacha nijidunge povu kidogo nikiendaga
Siko
The first time nimeamka before 5am in more than a year. Sioni benefit iko wapi. Karoad trip kidogo
For 20k you can get a very good bike, just don’t buy one with Springs, buy a size 26 which he will use as he grows older
Brarre fwakkin…
:D:D:D