Usiku Sacco Register

Old Monkey ameniachia register leo ni mark nani ako present.
hebu weka stamp hapa nauseme uko wapi.
mimi niko mundeke na hivi karibuni wanafunga niende sky lounge.

1 Like

Niko umoja jabaration gear 5

1 Like

mbisha ni muhimu, hapa kuna blackout coz of elnino ningeweka yangu

2 Likes

late night snack time

3 Likes

mtoto iko na colic ndio niko hapa

3 Likes

what snack, could it be vikali?
missed you, i already done my confession and now am free, ive offloaded a load from my heart

1 Like

:smiley: no, just chicken … but now that you mention it, i could do with a glass of something

1 Like

water wil be fine for now, we are in mourning

1 Like

Niko apa Youtube nlikua naona trailer flani sasa nimejipata naona tutorials za nail art; acrylics, gel na solar acrylic… Kuna ka umama nimeanza wacha nilale kabla nitage mayai :smiley:

7 Likes

:eek: but for why?

1 Like

Present… Lazima kitunguu inuke…it’s the night train shit

1 Like

Its 0113Hrs Mombasa Island Time. Stone cold sober and very sleepless…mark me present

2 Likes

0115Hrs Ngurubani Mwea,… Just from doing rounds in the chicken bandas

2 Likes

BA mdogo apa ludo unashika mbisha baadaye

1 Like

Any news,otherwise,watching about Nazis.
There is a chance Hitler never died;)

1 Like

mbona tudor mna ushoga hivi, nissan za bamburi zikivaa tairi kubwa mna copy, this is war now!

1 Like

0130HRS meru products zimeshika mbaya.

1 Like

weka mbisha, leo nimekua admin ama nikupige mstali

1 Like

Nooo. Ushoga na umama uko Bamburi. Its the other way round. Mat za Tudor zinavalishwa big tyres halafu mnacopy. And if that’s not enough,madere wa Bamburi wanakam kuendesha mat za kwetu. Kwani kwenu hakuna mathree?

1 Like

Niko area ka.mali mali… Kushikisha maziwa.na mayai ndionzangu

1 Like