Usiku Sacco - Oh Baby Version

Oh babyyy,they may say am a fooool
But I can not help,the gravitational puuull

Nimengoooja nikangoooja mfungue register ya Usiku Sacco mpaka nikachoka. What I did not realize is that all that githeri ya’ll ate yester night is still wrecking havoc on ya alimentary canals that’s why none of you is showing up.
@Meria Mata that was a mean trick.
Kama una tumbo kama cement mixer,sema present. @Guru usisahau laxatives,some will need it…
And in consideration of the sewage unclogging bills,leo nimesuspend registration fee.

3 Likes

Tuko hapa hapa. Learning how to use hot water bottles and stuff.

1 Like

Niliskia hot water bottles ni za kupunguza maumivu. Wewe @mabenda4 unapunguza maumivu gani?

This puta is present

1 Like

Not me. Ni ya neighbour hapa spaki

1 Like

Present.
Wacha Oriena Papa a come na mukhobero we see if it will assist.
Watching CSI:NY. Didn’t know at my age one can have a crash on an actor. :stuck_out_tongue:

7 Likes

Present.
Hakuna kulala leo.
Am monitoring the ug ‘erections’
.
Makanga golf course Kabale Municipality:Election results:M7 132;KB 110; JPAM 6; Kyalya 1; spoilt 7 & the rest zero #UgandaDecides @UgandaEc

1 Like

present!
ile githeri ilibaki ipewe wakameat.

Aaiii @Guru mukobero si ni ya kuongeza amount na nguvu ya njoti. Itasaidia watu wa constipation aye?

Wewe @Meria Mata kama EO in absentia unaona itaenda vipi,hii erection? Ni nani atakuwa erected?

1 Like

Present,naskiza big testimony Truth fm

2 Likes

niko natulia…nimejikulia ka ukali sasa naskia ka-usingizi kwa mbaliiiiiii…

1 Like

Heheeee.

1 Like

Present nursing a headache

nimefika kwa nyumba driving a subaru STi sijui nimekula nini aki

2 Likes

Oriena papa nimeland bukusu shepart in tow nameza GILBEYS polepole .

1 Like

Hata kazi yake inahitajika I guess

MM confirm whether this is true

[ATTACH=full]31594[/ATTACH]

4 Likes

NDIO hii NYANGAU Mimi husema. Scientific name niko huku Leo.

[ATTACH=full]31593[/ATTACH]

Niko hapa kama papa baharini.

Niko hapa kama papa baharini. Kijiji kimenichekesha leo, pia nimejifunza mambo kadhaa.