Usiku Sacco - @Fala 12 MIA Edition - Hatumtafuti Tena!

Huyu funny chairman wetu ni kama kamshahara kameingia. He is missing in action. Hatumtafuti.

Night runner. Night farmer. Night nurse.

MARK THE REGISTER!

Present!!! Niaje mtu wa across the creek…???

[ATTACH=full]42598[/ATTACH] Present sir!!!

Present. Haka kahoma kananilemea sana.

Apan tambua usiku sako si ya DO1

2 Likes

Present. Nimecheswo. Nimekasirika kama gîko.

Mimi niko salama kabisa. Kujivinjari tu na haka ka upepo kutoka baharini…

goodnight all…

2 Likes

Ndari ya @FieldMarshal CouchP nani amechesa mchesaji?

When my body is too tired, usingizi hupotea. So, niko

1 Like

Lemme sleep. Kesho naamkia mtu. You’ll see a mad bitch.

3 Likes

Umeshokeshwo na nini my dear wa @gashwin

2 Likes

From doing checki maneno on rollers great indoor exercise btw…@guru should try out banana tea you’ll be out like a bulb

mzito wa across the creek napita tuuu
nimetoka kutafuta ka-kitunguu

1 Like

Present. Lulling my babies to sleep

1 Like

Niko area code. on the road.

1 Like

@Gio :o hata wewe hujui kutag?

2 Likes

Job. Leo nimethigithanio sana

3 Likes

Which is banana tea? Ùgatuonia ùhoro kijana

2 Likes

Akisota ata rudi, mpatieni mpaka tarehe 10 latest