Hii sato imekuaaje talkers. Uwesmakende has been banned but we want him back. Yeye na pukusu shephat ni wazito wa kijiji, then kuna hii mambo ya kuchew cud, mimi nimeskia leo, Yaani kuna wathii hufanya hivo.
For night farmers I planted whistling pines in 2014 saa hii ni miti kubwa.
I believe we can reforest Kenya in 5 yrs
our motto will be ‘panapo shimo panda mti’
Uwes will be back. I guess the silence by all mods here shows they are in an emergency meeting.
Today was busy as usual. Am I hyper or Wat? I can’t sit in my house eti I am resting. Always on the road for Mashuguli.
Where? Whistling pines.
Mombasa?
Hapana. Mombasa heat affects momos :D:D:D:D
That is why I was asking. And are you a momo ama Ni akili unatupimaga nugu hii?
Nugu tena.
Aah…toa nugu hii. Ni mazoea
Sawa Generali. Mimi ni momo kapsaaa. Lakini size 16D. Hehehehehe
good evening pole kwa ku deviate from the flow but… hi story ya kutumia finch ku hack net nita jua aje nina ride on unlimited bunldes?
Hii mambo ya ango uwes bado inaniuma. Ona vile @Jirani anajichocha hio side ingine
Napenda saana
Nikiwa class 8 nilikuwa na classmate alikuwa ana kula cuds. Especially after eating githeri ya shule. Labda mtu kama huyo ana infinite self-sustenance.
Si nifanye sampling niwaletee results?,
Admins wa hapa wako na ka ujinga kengine ama sijui nikaite ka umama. they never respond back to adress the issues,ama wanataka walambwe wapi
Admin fanya mambo.
Imekua shida kuweka mbisha.
This is my forest in mombasa county.
It’s 2yrs 4months old.
[ATTACH=full]28522[/ATTACH]
[ATTACH=full]28523[/ATTACH]
Woishe wakameat. Nikuunganishe na momo my friend?
sato imekuwa dry kama lips za nani