USIKU CIRCLE

night farmers night runners, wanaotafuta kitunguu na wanaokaranga kitunguu yao.
register imefunguliwaa sema present.
leo night running mpaka chee

Faxe inanisumbua ,great evening Sir

1 Like

Niko area kama bacteria…

1 Like

Morning.

:)…

Vipi paka 35?

Present, drinking thufu before I retire to bed

1 Like

naona u r among the guys that have been helping @rollout achieve his FAXE sales targets

3 Likes

Paka manyoya!!! Maybe chui

Present sana. Nauza kienyeji chicken na spinach (chard)

Nauzaje mami nione ka ntaendea izo zako ama zile zlipostiwa hapa na @ochithunder ?

2 Likes

Niaje fala flani? Kuna venye insomnia imenisumbua sana. I can’t sleep more than 3 hours. Unaesa recommend miti shamba?

kwaherini

Kunywa muratina glass mbili…

1 Like

Unatuwacha?

Hayeeh!!

kama uko county tuma coordinates

pretty purr

1 Like

kwani umekunywa nini mzae imekurusha mbele hivo?

1 Like

kuna kikitu cha mandizi chef raphael aka @Gio alikuwa amepost

1 Like