Usiku Circle

its that time of day again when you get to night run
today is the day that nairobi water decide we can get some water so nikuchotelea tuu
anyway sacco is open mark the register

1 Like

Present…tunacheki game aguero akiwa amekalishwa bench

1 Like

Mbisha ya maji ikitiririka from tap? Watu WA Mombasani tusafishe macho nayo.

1 Like

mko na allergy ya kuoga so picha ya maji itawapea tu goose bumps

Hehehe, huku maji ni nyingi kabisa, watu wanaoga na shower
11:41

Present watching kamovie ka sometime back kanaitwa the loft ni mwoto sana

Imefika ama Ni ya kisima mnapandisha?

1 Like

Present 00.55 night running mode activated

And ofcourse man useless draws

1 Like