Usiku Circle

Time check 23:05 hrs wkt
sacco status; open till morning

mark register fellow night runners

Oriena papa nimeland bukusu shepart in tow , hapa tuko nyuma ya ndugu yetu Zaire ikikula nyoka ya Adebayorchieth 2-0 11:18 (GKT)

2 Likes

2321
Usiku mwema.

1 Like

2326hrs MRC time…

Ilefen twendifor

Some talkers so old waking up next day is not guaranteed.

1 Like

He he he. Pale telegram ya deadbeats admin wamemulikwa.

fkised .

Hii team ya kina bingwa inakamua kina kolou Solomon.

Nimekaza yangu yoote. I like DRC. 1-2. Hata Kuna mkamba Mulinge

Enyewe DRC Ni muoto. 1-3

Ivory Coast are packing

Zaha is playing meffi

00:00 hrs MPT

Wametolewa jo.

1 Like

na Ex-coach wao jo ndio amewatoa. Sasa mbona walimchuja in the 1st place?

1 Like

How To Get Away With Murder. 0056Hrs…

1 Like

Usiku sacco closed

1 Like

Bratha, mbona unafunga na bado tunakula supper? Good day, VS

2 Likes