Usiku Circle

watu wa mhindi kina @vuja de na @Ole Wenu naskia wamepata advance so wameenda ku-poison liver.
wengine wako night running ya kawaida waendelee tuu…
sacco imefunguliwa so mark register.
time check 23:26 WKT

Mimi hapa na Gashui ni champagne tu

3 Likes

pronounce hii jina ma’am

Champayn

2 Likes

mwalim Gashui huingia bed na dictionary eeh :smiley: :smiley: :smiley:

3 Likes

[ATTACH=full]78398[/ATTACH]

1 Like

[ATTACH=full]78400[/ATTACH]

1 Like

kwani ni sister ya minority leader kwa national assembly

Niko hapa town inaitwa Makindu. Mos mos tu. Waiting for CONGRATULATIONS on Leeds win
[ATTACH=full]78399[/ATTACH]

2 Likes

00:00 hrs Mombasa Pwani Time (MPT)
Coming from the Cockpit!

He he he!

1 Like

[ATTACH=full]78402[/ATTACH] [ATTACH=full]78401[/ATTACH]

5 Likes

Hakuna usingizi and I have an early morning. Shait.
@uwesmake ichieni… Hehehe…

2 Likes

Hii mbicha ya hippopotamus imenipa trauma ,naona nikiota madimoni

4 Likes

Present nightrunning full throttle @ introvert weka some cool music low volume hatajua usingizi ikikupata

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Afande Lala ama unashika walevi?

1 Like

Uwesmake ameleta saitan hapa,hii ukilala utaota ndoto ya kupiga nduru.

5 Likes

Hehehe.
Usiku nasikia osungu ya BBC pole pole. Ikikataa kabisa natune in between stations nisikie static at low volume nifikiri niko kwa beach.
Ikikataa narudi job.

Uwesmake ushindwe, pepo nyeusi wewe…
:D:D:D:D

@Swidfil Makanje njoo hapa kazi ipo.