Ushawai Shikwa Na Makarao Over Nothing? Tell us your Experience

Mshawai patwa na msako?
[ATTACH=full]279831[/ATTACH]
Manze ndio nilikuwa bado highschool alafu tumeenda the last Sunday jam session pale F2000 b4 schools open.

Jam session tumetoka kitu 8 or 9pm headed home. Manze kumbe pale Moi avenue plain cloth cops walikuwa wamemwagwa. Manze nilistukia nimepigwa jeki (kuinuliwa from the trouser) ati jangili hii …wapi kitambulisho. To make it worse some of the guys tulikuwa nao walitoka mbio escaping the arrest. Before niseme mimi ni student nilifunikwa Kofi moja moto na next thing najipata kwa mariamu. Gari inaendelea msako ikishika shika other innocent youth.

Tunaskia makarao wakisema hizi tunaandikia loitering with intent. Waaah sazile tuko karibu kufika centro ndae ika park apo kando. Haiya imefika wakati wakujitetea. Naona watu wanatoa tupesa alafu wanawachiliwa.

Kwa mfuko nina tuu fare ya kufika home. Manze ni Sir God tuu…niliingia mbosho ya mine nikapata school ID. Nikasema let me try my luck. Nikawaonyesha and told them am a student na kesho niko shule.

Wakaniuliza na ulikuwa umetoka wapi? Niliwashow tuu ukweli. Ati nimetoka kujifurahisha mara ya mwisho kabla nirudi shule. Wakacheka in unison and then nikaskia the leader akisema toka and uende nyumbani na usiangalie nyuma. Wueh nilitoka mbio mbio banae.

Wapi signature running while holding your falling trousers.

Corrected. Usijaribu hizo gymnastics hapa. Ktalk CSI tunajua the real story.

Sema tu ukweli… Walikuchunisha sukuma na ukaachiliwa ukatoka mbio with a falling trouser.

wewe lightskin unajua saizi ukifungiwa mneti utapiganiwa?

Nugu ilitoa kiyambis makarao wa Kenya hawaezi kuacha ivo msee:D:D:D

Niko na a very juicy one lakini kuna kamzae idler 58 years old nikipost katakuwa kaki repost every day for half of this decade.
Kajinga zaidi.
:smiley:

post tuu usigwaye

Kidinyi and Atwoli took your innocence. Naskia Njamba Huthu pia alikuwa area wakakufanyia 3-piece combo. It was a long night. Tangu hiyo siku lazima u-post hekaya za kuchunishwa sukuma every Friday.

Oyaa brownskin leo ni friday unadai pilsner ngapi leo?

Kuna kimsako kilikuwanga hapo kinjia cha kutoka umoja kuvuka mburu (phase 2) hakikuwa kinanikosa.

Mimi nilishikwa hapo latema road baada ya kuosha rungu. NIKAMA HAO HUWA IN WAIT. NILISTUKIA TUU PINGU. HIVO NDIO 500 ILIENDANGA

nilikua nimetoka kucheki kunguru flani, kukaribia gated community ivi nikacheki tochi ikimulika kutoka na nyuma, mimi huyo mbio kumbe penye naelekea ndio mariamu imepark na imezima lights, ilibidi nimesarenda msee

Nilishikwa pale kibera nikiwa nimetoka kuwatch game ya Juve Vs Real, champions League final in 2017, ilikuwa kitu kama saa tano usiku, hao mafala walikuwa wanapiga patrol. Wakatushika wakadai Sisi ni idlers…

So we(tulikuwa wengi) were taken to Kilimani police station, tukalala cell, kesho yake tulitoka na Thao kila mtu

:smiley:

:D:D:D:D:D:D

Nilikuwa napiga round Nakuru town tukiwa na Mrembo fulani beshte yangu kitu SAA tatu za usiku hapo Kanu Street. Ghafla bin buy nikashtukia maD- wamenishika ATI napiga umaraya. Wakaachilia dame alafu wakanipeleka Kwa chochoro fulani na Pingu. Wakijaribu kunitoanisha pesa lakini nikakaa ngumu wakaniachilia free after kitu 30 minutes.

naks hata saa mbili unashikwa

Ni place kuna ujinga mwingi maze

Nilipatikana nikichapa vitu kwa gari hako kabarabara kanaingilia hapo Water Buck. Murungaru kupark majamaa wakaruka nje wakaja kwa window ya gari kuanza za unado. Nkawaambia tunabonga na dem yangu niishie Nairobi. Mkubwa wao akotokelezea nyuma akanigotea (kugota ya ukweli) akasho watu wake watulize na wakaondoka tu hivyo.

True story.