Sasa leo Mimi Niko shugli zangu mtaani , nikarusha mkono kwa mfuko … Waah kumbe Kuna kipenga na moja full sikumalizia some days ago… Waah nikiona karao naona akinisimamisha anipige terooo … Waaaaah , hehehe hiyo town sijakawia Sana …
[ATTACH=full]334270[/ATTACH]
:D:D
Sounds like a nightmare some of us have time to time
Itoe kwa mfuko na uwashe hiyo kindukulu pale Hilton hotel. Usiogope karao. Hao wasee ni watiaji Tu!