Ushaa kunywa pombe hadi ukaomba Mungu?

There is this time i was in colle and we went to those changaa dens huko KM tukachapa hio virgin liquor popularly know as Bikira. Nililewa hadi nikaomba Mungu na nikampromise ikisha kwa kichwa saa hii sitawhi kunywa tena. Never happend so i still drink.
This happend to me jana pia i did not even get home so morning nimenunua shirt nikaingia job. Macho yanakaa red mbaya.

4 Likes

if you are employed that is the beginning of the end of your employment…you had better mend your ways juu hakuna mahali pombe inaenda…

23 Likes

… and as they all say, alcohol can be a mans worst enemy, lakini bibilia huwa inasema penda adui yako pia.

6 Likes

Tried kuwacha hadi nikaokoka but wapi? Nikienda kwa bar cjui what gets into me najipataga nimelewa vibaya sana. Cant take 2 and go

be taking Fris, Sats only…bosses kama mimi may understand but wengi ni wale will have a very dim view of you if you come with alcohol fumes on your breath to work…moreso if your position involves interacting with customers…

mimi nilikula chocolate laced with weed ama ni weed laced with chocolate either way I thought I was going crazy and I sought divine intervention, suffice it to say that was the last time kukula hio uchawi,wacha nibaki na gilbeys yangu

9 Likes

huko KM tumewahi enda na marafiki kunywa muratina there was culture week in the campus and one of my friend’s sister alikua ana perform we went to watch and hunt for any prey around

Pole mbro. I did weed in high school and ilinifanya mabo. Thats all i can say. Ckumoja ntatoa hio hekaya.

1 Like

Kwani u live around KM?

1 Like

Fortunately my work involves kulala chini ya gari and to mask the fumes huwa tunasuck petrol unatema chini.

1 Like

used to but nilihama kitambo.

basi edit hii hekaya…

kunywa bro…jibambe…life is short.

1 Like

@mtu chuma punguza pombe for your own good haiendi mahali

1 Like

Nimejaribu hata kuwacha all together but nimeshindwa. I can stay for weeks bila kukunywa but nikingia bar inakuwa ni mbaya kabisa.

[SIZE=6][COLOR=rgb(255, 0, 0)]“Sissy men”, [COLOR=rgb(0, 0, 0)]if you can’t hold your liquor, don’t drink [/SIZE]

1 Like

Once nilikula huko KM nikaharibikiwa tumbo vibaya sana. Sikuwahi kula huko tena.

1 Like

There was a time back in campo when I downed almost a full mzinga of Bluemoon. Kuingia kwa room, I said a repentance prayer to God as I was sure my meeting with him had been scheduled and confirmed, not even sure how I survived.

4 Likes

At this rate wajanja wa mtaani soon watakupaka!!!

Wachana na spirits they are addictive kwanza if alcoholism runs in your family tree. Try beer instead. Itaku shibisha iku bore uwachane nayo