Wakuu wakimbizi wanzangu mliopo huko Kakuma Refugee Camp hebu nisaidieni kwenye usajili wa dirisha dogo wa Mh. Lembeli kwenda CCM. Nilisikia kwamba usajili wake uligonga mwamba. Mwenye taarifa juu ya usajili huu kugonga mwamba atueleweshe hata kama Chakubanga mwenyewe yuko hapa atupe ufafanuzi. Je, ilionekana afya yake haitaleta tija Lumumba nini? Usajili unakuwa kama wa Nabil Fekir kwenda Liverpool!! Nimpe pole kwa yale yaliyomkuta!
Mzee wa nyeti za kuku, inaonekana amekosea taimingi.
Hata mimi nilishangaa kuona kichwa cha habari kwenye gazeti kwamba usajili wake kwenda CCM umegonga mwamba! Yaani CCM nayo imefikia mahali inakataa washambuliaji? Huu ujasiri wameutoa wapi? Labda jiwe litakuwa limeamua kumkomoa maana kuna mkutano mmoja jiwe lilikuwa pale Kahama likawa linambembeleza kuona kama angevua gwanda siku hiyo lakini akachomoa! Sasa litakuwa linalipiza kisasi!! Sasa sijui mzee wa nyeti za kuku atarudije huku?
Du!! Hakutuma maskauti kutafiti kabla ya kwenda!!
Hakuna kitu kama hicho cha kukataliwa bali wanafanya maigizo!!
CCM imemuona ni mmaluki. CDM nayo isiwe inapokea every body from ccm bila kumchunguza ili kuepukana na kupokea watu wenye nia mbaya kwa chama (mamluki). Impact ya akina Lowassa na Sumaye inaonekana wazi - wako kule kuibadilisha cdm kuachana na harakati za akina Heche, Mbowe, Lema, Sugu, Mdee, Msigwa, Myika na Lissu. Wako kule kukifanya chadema kuwa chama cha upinzani cha hoja za kiustaarabu badala ya hoja za vurugu.
Chakubanga anasema huyu mzee wa nyeti za kuku hajaota mkia.
Mzee Chakubanga kuwekwa pamoja na Katibu wake mpya mnara wa Babeli utaendelea kuporomoka.
nimecheka kweli eti “wakimbizi wenzangu” hahahahahaah
Atakua hakufaulu vipimo vya afya, hasa mkojo
Vijana wa cdm wanahoja za uhakika na sio za woga wala kujipendekeza. Hao vijana wa cdm wanahoja za msingi kuliko za Lowassa na Sumaye. Sasa wao watawafundishaje? Wanachokifanya sasa Sumaye na Lowassa ndani ya cdm bi kujaribu kupandikiza siasa za kinafiki na woga walizoziacha ccm.
:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p
Ha ha ha; sasa mzee wa watu zile nyeti zimemgeukia; CCM ni vinara wa fitna.
Ha ha ha ha nimeipenda hiyo maana hakuthubutu hata kutamka anaenda CCM mama yake ndio niliona amepaka wanja na lipstick akisema acha kuzunguka zungu sema unaenda CCM khaaa yajayo yanafurahisha WATAPATA TABU SANA
Haaaaa haaaa sikujua kakataliwa
naona nafasi za teuzi zimeisha…pia nahisi kama hela ya usajili imeisha hv…wanangojea watuibia hela nyingine za usajili…
nomaa
Karma is a bitch!
Hakuna chemistry ya kazi kwa wawili wale