Usaidizi

Habari zenu nyinyi wote,natumai mnaendelea poa na mwaendelea kujienjoy huu msimu wa krismasi.

Nina jambo ningelipenda usaidizi wenu,katika hii holiday mood,nimempeleka mpenzi wangu twende kujivinjari katika nchi jirani Uganda kwani maisha ya Tanzania wakati mwingi hua haitufurahishi kwani tumezoea sana…

Tukiwa uko nikaja patana na wasichana wa kiganda…aiiisee wako chonjo…wameumbwa wakaumbika…sasa mkewe ananiambia jana ati" uko free kuonja onja hawa waganda ukipenda" jana nikajifanya sijatilia maanani…leo pia karudia…sasa ni mtego aisee ama kweli nimeruhusiwa??

1 Like

huyo alionjesha mwingine na anajua utaambiwa hivi karibu…

2 Likes

Jaribu alafu kama utakua bado uhai uje utuambie

3 Likes

hebu onja tuone…

1 Like

Muulize kama ataitikia three-samu na changu doa la Kiganda.

2 Likes

Poison chalice

1 Like

Utajuaje ni mtego ikiwa hujaingia ukanaswa na kutuandalia Hekaya yote hapa KTALK?

1 Like

ndio nashuku pia… ju imekua long tuishi pamoja after apate kazi TZ sa naona nikama anashuku tu mm hukulana

is it me or does this tz hekaya sounds like a sci-fi movie!

@anonymous60 its a Sci-fi thriller but let’s flow with it. It could be real too

@juniorben4inc how about you tell her to go get you herself? ?? Mrudishie moto/mtego…akikataa hiyo ni wazi kwamba ni mtego ,akikuletea nyabo kubali- in future she will never say that you cheated on her, you will say " si wewe ndio ulimleta"
Hata hivyo kuwa tayari atatafuta mwanaume hapo pia .na usiongee

6 Likes

Pewa mbili baridi.

niaje @MTANZANIA Maghufuli

Poa sana @Okonkwo…unasemaje?

@Abba, safi sana kaka…acha nijaribu…ntaleta matokeo.

1 Like

Tutakuwa hapa tu.leo mimi ni admin online :D:D

Uko lucky aje brathee…ningalikuwa wewe huyooo mimi kuandikiana na yeye na asign ya kwamba alikupea ruhusa

1 Like

did u just use “AISEE” thats not Tanzanian… that churchill talking.

Kwani wewe ni Baba Mtakatifu?
Hukulani?

@madova waitwa hapa kaka braza

Tunaongoja majibu