Usafi muhimu: mimi after kushonde lazima panguza kiyambis na wet tissue

Hakuna mtu upenda usafi kama panyaste. Manze ukiingia toile ya myne uta like it. Sio carpet ya choo… Sio perfume (zile automatic)…harpic pale. Tissue paper expe plus wet tissues. Alafu kwa sink kuna sabuni kama ya lodgo. Clean place.

Safi sana… Back to topic… Manze mimi after kumaliza denki kama lebron James… Nachukua TP napanguza… Followed by wet tissue. Tupa ghasia kwa toile… Haina haja nifinye flash… Juu ni automatic… Inajiflash. Tupa ka harpic ndani ya bowl… Usafi masafaraa… Inajiflash tena.

Automatic perfume ilikuwa ishapiga ile chop ma perfume kibao… Ghasia.

Enda sink nawa mkono. Unatoka hapo ukiwa freshy unlike maumbwa upanguza kiyambis na tissue paper wanawacha boxer na alama ya meffi.

Feeling fresh. Jitombe
[ATTACH=full]202608[/ATTACH]

Boss hutawai kuwa msafi Kama muislamu mwenye huosha mattercore after kudenki!!!

baada ya kukaa mwaka mzima ukisema kuhusu kuchunishwa sukuma sasa umeamua kushow mashoga wenzako mkundu yako ni swafi,sawasawa

Yaani umeketi chini ukaona vile utaandika umeffi ju hii issue has never been addressed here??

:D:D:Dpanya unaset mastandards sana

Picha ya choo?

shitty post

Panyaste mfresh…niko FIFA19 msinisumbue

Unapenda kuringa na standards za upus na hujui dining etiquette hapa iko za 55" TV movie ps4[ATTACH=full]202610[/ATTACH]. Blue band in 2018 plustic cups and plates, ketepa tea , meza iko Na kitambaa.

:D:D:D:Dthread closed…na iwekwe kwa archives.hapa hana comeback

This thread smells like sewage and faggotry

Omba mattercore pole pole bila kusumbua kijiji

Thread inanuka meffi

nina lead 1-0 half time…pale FIFA

This ktalk has turned into a brothel

@Panyaste unasafishia nani hio matacore Sana.

@Unataka kujua ili?

Salimia Belinda okech, ni celeb hapo kwenu wa ku organize ma music shows.

:D:D nini husumbua hii ghasia

:D:D:D Hiyo kisu jameni…where’s the bread knife?