Uruguay vs. S.Arabia

Suarez - Cavani… FINISH THEM!!!

Bet Itaungua au haitaungua?
@hakimoto niCash out ama nikaze? :smiley:

Nasubiri mavitu ya Cavani kwa hamu,byebye Saudia.

Bloody Saudis watakua HKM’d.

Usisahau Suarez

Stream http://f1livegp.org/soccer/football.html

Simkubali sana yule,ndio maana nimetaja Cavani pekee.
Binafsi namuona Cavani kama injini ya timu.

Wacha tuone…his 100th match…he might score

Haya shasha… kumbukeni jana muindi alikuwa amepea saudia 22.00 odds . leo zimeshuka to 12.73. Sijui ni watu wengi wamewekerea saudia or wat. This one am out. odds za uruguay kichwa ni meffi ata ukiwekerea 5k

Sur

Sure,let’s wait & see

naona over2.5

Uruguay to win both halves

Napenda sana vile waarabu wanatimuliwa, next!

Both these teams suck. But I’d rather see Uruguay win.

10 Minutes and no goal…Uruguay…WTF

Final

Uru 1 - 1 Saudi

my prediction 2:0 in favor of Uruguay.

I’m watching your predictions

My prediction is 90 minutes anything may happen

Saudi Arabia have improved after the 5-0…or Uruguay are just trash.

Suarez to score anytime imeingia…