Urafiki

Habari zenu wana Kenya talk …
Mimi ni Mtz kutokea shinyanga ila nina mpango wa kuja kutafuta maisha hapo nairobi hivi karibuni na sijawahi fika huko kwahyo naomba kwa mtu anayeweza kunisaidia kunipa ABC za huko hususani sehemu ya kupata chumba cha kukodi na utaratibu wake.
Natanguliza shukrani asanteni.

contact @Kigui

Karibu sana, kuja utusaidie kulipa madeni ya mushaina

Pia naombeni kujua bei ya kukodi chumba cha kawaida kwa mwezi.

@Motokubwa si usaidie huyu Jamaa Kwa zile single rooms zako pale Dago.

@under23 ndiye caretaker huku atakusort

Mganga

Budget and place of work?

Huyo homosexual @Kigui tangu amulikwe aliingia mitini

Budget ksh5000 kwa mwezi iwe nairobi hata ikiwa pembeni ya mji sawa kikubwa pawe salama