Kuna zile subaru za @Maize_Combuster husifia hapa naona ya 2004 unauzwa 900k gari yeyote ya kawaida 2008 kuridi nyuma shouldn’t cost more than 500k sai gari ni za 2019 plus…but I blame kenyans , wakenya waheshimu pesa zao
2 Likes
Bei ni 150. Same concept different products
1 Like
Point