Upuss zingine muwache

[ATTACH=full]426100[/ATTACH]

say yes! say yes! say yes! say yes! say yes! say yes! say yes! people like publicity, exposing them to situations they can make lifetime mistakes

Hakuna mwanaume hapo…

Kwani watu siku hizi wanapropose kwa.mashosh?

Kwani amebleach vidole pia :smiley:

Hadi ameshtua Hawa majamaa:D:D:D
[ATTACH=full]426142[/ATTACH]

Si atoe kofia aonyeshe heshima?

SQNY nakuletea dem kienyeji ya Uganda, uoe

Mzee kibor ataamka from his death bed at this rate…

Fuckin simp proposing in a club?

Hawa washa ingia mkia

u propose like this, 10 yrs later you wish heri ungenunua Kuku badala ya ring

Huyo wa right ni kama amekua akigawiwa hio mali.