Kuna Jamaa kwenye matatu hapa, alikuwa anaongea na simu “Haloo leo sitaweza kuja nimepanda gari moja na mumeo” …ilikua shida, unaambiwa Wanaume wote wenye ma wife wamemng’ang’ania aonyeshe hiyo number aliyo kuwa anaongea nayo"
9 Likes
:D:D:D:D:D haki watu ni wajinga kweli hahahahaha
2 Likes
sketchi hapa ama hizi ni idle musings…
1 Like
:D:D:D:D:D:D:D
1 Like
Hahaha
Nice
1 Like
:D:D:D:D:D:D
1 Like
Matatu ya wapi buda?
1 Like
Munaambia dereva asimamishe gari mufinye kende kwanza
3 Likes
A more complete version of this hekaya is needed.
1 Like
Hiyo ni preamble, sasa weka hekaya yote.
1 Like
hehehe
1 Like
Huyo jamaa alikuwa anawacheza shere tu.
1 Like
your new avatar, i like…
:D:D:D:D:eek:
1 Like
hi, wakwitu!
1 Like
Huyo pia ataumwa maskio itoke kama ule alishikwa na wife ya mtu Madogo, Tana River
2 Likes
Niko poa.
1 Like
hiyo ni ya Leicester City
1 Like
whatever! it’s blue
1 Like
GAY