UPPERCUT: Projects going on in The City of Dar es salaam Tanzania

I am not yet started to post big issues. Nikianza kuweka vitu humu. Ninakuwambia utakimbia. :rofl: :rofl: :rofl: :rofl: Wewe kwangu ni sisimizi. Huwezi

Change your style of posting comments.

If you don’t humble yourself, I will humble you

880 DAR HOUSES CONNECTED TO GAS PIPES

Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya usambazaji wa gesi asilia Jijini Dar es Salaam ambapo hadi sasa Serikali imeshasambaza gesi asilia kwa njia ya mabomba katika nyumba 880 katika Jiji la Dar es Salaam kwenye maeneo ya Sinza (226), Mikocheni (155), Kurasini (344) pamoja na Mwenge Mlalakuwa na Chuo Kikuu – UDSM (155).

Live Dar to morogoro with Electric Train

Sasa hivi nimebanwa na kazi nitaendelea baadae.

Mambo ni makubwa sana. Kesho nitaendelea

Kumekucha. The guy is here kukupatia taarifa za moto moto.

Miradi ya Dar ni mingi sana. Dar is changing