Naona huku kwa terekram hawa vinyangalika wanademonstrate na kufanya training ya kurusha mawe along state house road
@Meria Mata @pamba confirm hii maneno bana juu tuko huku SHGHS inaeza kuwa dissastor
Priss confirm juu naenda perklends kutoka inderstriel area.
Na hii demonstation ni ganiiii???
Babu Owino ndiye kiongozi, the incoming MP of Embakasi
Don’t believe in self hype, in 2013 he ran for westlands seat and came last. Hooliganism isn’t a selling point.
Most likely wanademonstrate juu lectures wako on strike
MMNN confirms the riots, usipitie hio njia
ninapita hio njia & by foot. will update
Nikama comrades wame stand down
Fixed
kwi kwi kwi, chunga munene usikule mawe uende hosi na funguo ya kijiji…
Was caught up in the mayhem…we all made a U-turn. On state house Road, it’s clear.
Ahsante.
Weka mbisha ya ‘clear’ lakini.
Glad you are fine but weka mbisha ya hio mayhem na hio U-turn…and let us see the clear road
Labda nitume mbisha ya nunu…ni sawa?
Anytime dear. Glad you are safe though