Uoga ni umaskini

[ATTACH=full]149841[/ATTACH] DISCLAIMER: GAMBLING MIGHT SCREW YOU BUT I DON’T GIVE A FUCK

Ssasa uoga umeniponza jameni, nilichambua game mzuri mbili za baqe zote 1.85 nikacancel na zote zikaingia box…uzuri ni kuwa kulikuwa na game zingine mingi na nika make up for the cowardice
Sasa iko hivi kwa wadau wenzangu wanaopenda kubetibeti…Game ingine ndo hio hapa…weka stake kisha bana maknd unyoreshe Mhindi [ATTACH=full]149836[/ATTACH]

Thanks lakini unanifanyisha job kumove thread.

7 Likes

iza iza

eka 10k kwa asenal utoke na 40k my fren. [ATTACH=full]149837[/ATTACH]

Toa phone number yako hapo

10K? That’s quite a big stake…labda niendee the double chance ama corner bets

1 Like

sasawa

Acheni ufala.

[ATTACH=full]149843[/ATTACH]

1 Like

Si tunajuana

1 Like

Wewe ni burukenge kuanika number yako.

endeleeni tu kubet.peasant dimwits

@Tommy Lee Sparta what is happened to the P.K … Naskia siku hizi mnaoga na chumvi

Wewe ni agent wa muhindi umetumwa kumaliza raia ??

3 Likes

billionaire si jana screenshot yako ya SGR ulikua umechangamka betpawa[ATTACH=full]149858[/ATTACH]

1 Like

i was just passby.i dont shit

:D:D:D:D:D
Cheza chini brathe.

cheza ndogo ba mdogo…shida yako iko wapi?