There is something abnormal about today’s heat in Nairobi. Seems like the sun has lost its way and headed here!
…Na bado, wacha equinox ifike.
NASA saidia.
Nasoma Nyeri kuna mvua kubwa ajabu. . . .
What do u want us to do Chisos.
Since 10am ,damn hot and jam superhighway
i thought i was the only one…
it rains everyday. atleast in Nyeri town
Umesema hivo nikamiss Nyeri, I will go back to Green Hills soon
Unajua Nyeri aje?
:D:D:D
Nikiwa primo kuna kitu tulisoma kwa GHC, eti ITCZ. Could it be to blame? I saw predictions of storms and cyclones over Madagascar last weekend.
From my 3rd high school na ocha ni karats, so the proximity
You know Ítara Garden Hotel?
[SIZE=16px]
[/SIZE]
True
Expulsion after expulsion…
hii joto ni extreme…alafu usiku huwezi jifunikia na mosquito wants a piece of the pie:(
Sasa mkishinda mna nyamba nyamba mnexpect nini?
…jana aftee Meru sema kunyesha mawe
Iko shida.
Mzee ameniita tukutane mahali tao tukaanza kuzienda baridi baridi juu ya joto