Unsecured Loans

Wadau, kuna hii benki ya muhindi inataka kunipatia upto 2.5mill unsecured, huwa kunaendaje jamaa ikichukua na hypothetically adefault kulipa? Saa ingine miradi hunywa maji…leteni maoni tafazali.

2.5 m hio wanaweza Teka nyara mtoto wako ndio ulipe

2 Likes

I need sensible serious answers, rudi sex & relationships