@Fala 12 Nko hii mtaa yenu, kumbe red office Ni block imejaa tu pombe,
Umefff…
@Fala 12 Nko hii mtaa yenu, kumbe red office Ni block imejaa tu pombe,
Umefff…
We meff hushiki simu
Mayacos junction.
[ATTACH=full]115442[/ATTACH]
Lakini senior driver, nini huangushaga hizi vitu in very flat places? Ni kama zinajitega, yani hata huwezi elewa hiyo accident.
Exactly my thoughts how does a truck tip over
Hii hata kama wewe ni mwenye gari utakuja na kiboko. Or he tried swerving of the road and tipped?
Lots of factors, probably he was swerving to avoid to a collision or the trailer lost brakes and wanted to overtake the cabin or the load was not well secured or djinis za A109 among many others
Ushawai ona kashosh fulani usiku kakicross highway?
Ushaiona msichana akijitega na suruali?
@Meria Mata Sasa umeona Ukojolee thread
:D:D:D:D:D:D
na wamefungua branch inaitwa RED Tavern 7D iko opp Kamiti on your way to Kahawa West
[ATTACH=full]115469[/ATTACH]
[ATTACH=full]115473[/ATTACH]
:D:D:D
Shait.
The drinkee and The buyee @Fala 12 ,
Inakaa caterpillar. I hope hakuna mtu anakufa.
Yaani wewe hata kueka mbisha umeshindwa
Ni mleffi, samehea yeye
Nimekuwa naye amerewo sanaa
opuss, nimepata nyoka Ya kunifikisha embu…
Way back in primo hehehe, you are sick.