UNITY HOMES APARTMENTS ALTERNATIVES

Niaje elders nakuja kanairo soon so nimekuwa nikisorora makaazi nikaona unity homes imesifika sana. Enyewe hao watu wa Korea wamejenga kistaarabu.

Nilikuwa nataka kubuy lakini nikakumbuka mimi ni Kijana ya mashinani I might not be around the city for ages so I prefer renting alafu pia hii kitu inaitwa service fee imeni put off.

Nimeona thread Fulani mmesifu greatwall apartments vile ni affordable but ziko mbali sana plus inakaa kuwa overcrowded.

Any other suggestions?

Anglia safaricom Sacco. Wakona offplan

I agree. Safaricom wako na projects kadhaa hapa Ruaka ndio zina anza. Good deals.