unga

hatukuli hii unga hadi baba aseme iko sawa.tunaeza kula tulale tukiamka september tupate kura zilipigwa

y0u guys should be clever. mukikula mutaamka 31/8

ndio maana tumeonelea hii ni karata tunachezewa.hatukuli ngo

how do you procreate??

hehehe na kwani we huli ugali??? ama hauli vya GOK?. " mukikula mutaamka…

[ATTACH=full]100600[/ATTACH]

N

Nala wa wimbi na mtama…

Ngoja uone gymnastics!
[ATTACH=full]100605[/ATTACH]

tunaziitanga “MASOGOO”

hii unga imeshukishwa bei kubribe waluhya wapigie Jubilee kura.