Sikumbuki siku ya mwisho kukula ugali kwa hii pigsty yangu. Hadi nilikuwa nimesahau venye hunuka. Kila siku nilikuwa naskia tu harufu ya chapo kwa buloti zingine za ungua na zingine poa.
Hizo poa najua ni za Amina the hot coastarian girl living directly below my floor. Huko sijafika bado lakini fisi hainanga haraka…picha zitakam.
Hoodrat neighbor ashaskia fununu unga imefika na ametuma message anakuja…hizo picha hazitakuja.
Juu nyama nimekosa imebidi leo niteremshe ugali ndogo na kubwa…bachelor apan tambua.
[ATTACH=full]109821[/ATTACH]
Sasa unga ya ngano inakaa kuhepa pia. Nimepita local super nikapata ExE zimejaa. Zingine zipo wapi sasa?
I miss real ugali for real… Hii ndio unga si hupika ugali nayo huku…[ATTACH=full]109830[/ATTACH] [ATTACH=full]109831[/ATTACH]
niko na mahindi kwa keja, kuweka tu kwa jua na kuenda kwa kisiagi, apana tambua shida ya Unga
Ebu kwanza nirudishie Mboro yangu …Hii nyap nime kaa nayo mwezi moja sasa nahofia umwagikaji wa damu
Exe ni mingi sana…hiyo unga haiwezi isha na wanaume hawajui kupika chapati
NitaUNGAna na wewe kuteremsha hiyo ugali ndogo na kubwa
Hehe…ni kubahatika tu. Nilikuwa nimebeba unga tatu nikaambiwa nirudishe moja.
Hiyo ilikuwa tabia ya campo kwanza waluhya. Keja si itaingiwa na panya na weevils bana.
system
July 3, 2017, 6:42pm
10
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
mimi sikuwahi pika campo, sina mahindi mob, ni gorogoro kama tatu, kusiaga moja moja na as usual usafi muhimu
Kuna another Unga I have never seen before that I bought. Sijui ati Winnie’s maize flour or something. Imejaa Naivas. Price around kshs 230 for 2kg.
Other than that sijawahi ona unga ingine in a very long time
grandpa:

Never ever buy that chieth. Inakaa unga ya yellow maize, and it is as soft/smooth as babies’ flour. Ugali yake iko yellow in colour and maji maji sana, it looks just like baby shit
system
July 3, 2017, 7:19pm
13
mimi yerro unga sigwes nunua hata na dawa
Wanasema wameongeza terere. Maybe hiyo ndio inafanya ikuwe yerro yerro
system
July 3, 2017, 7:27pm
15
hiyo ni ujinga ya marketing, nikitaka kula terere nitanunua seperate na nipike
epoch
July 3, 2017, 7:53pm
16
Boss, hio ni ugali ama mchele
epoch
July 3, 2017, 7:58pm
17
grandpa:
Kuna another Unga I have never seen before that I bought. Sijui ati Winnie’s maize flour or something. Imejaa Naivas. Price around kshs 230 for 2kg.
Other than that sijawahi ona unga ingine in a very long time
Hiyo sio ugali. Ugali is grain and mill fullstop. Madoido ingine kama kuweka color na blueband ni kuharibu ladha.
epoch
July 3, 2017, 8:00pm
18
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
mimi sikuwahi pika campo, sina mahindi mob, ni gorogoro kama tatu, kusiaga moja moja na as usual usafi muhimu
Ukinigawia hata nusu ya shelbi nitashukuru
Ni yerrow ama gleen ?? Mukamba colour brind.
Nilinunua hio unga pia na nimeshindwa kuipika
grandpa:
Kuna another Unga I have never seen before that I bought. Sijui ati Winnie’s maize flour or something. Imejaa Naivas. Price around kshs 230 for 2kg.
Other than that sijawahi ona unga ingine in a very long time
…Chunganeni na GMO priss (in @uwesmake quadro navy uwescoby’s voice) Sande!