Unfortunately we have lost our Tz president

Just received this very sad news.Was very hopeful atatoboa.Damn!

Iko news za citizen.

Kwani alikuwa babako,mvae masks buana.MHRIP though,hope the chicken he burnt will spare him some space huko ahera

RIP anko magufuli

MHRIP. Was looking for great things for his country.

You are very lucky indeed. Cheers.

Asande.

Hakuwa babangu bana my dad went a long time ago.Was just venting my feelings here.

Pole

MHSRIP :(:frowning:

 1. Msiba wa kujitakia hauna pole.
 2. Mwiba wa kujidunga hauna kilio.
 3. Mtoto akililia wembe, mpe. Akijikata atajifunza.
 4. Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
 5. Lila na fila hazitangamani.
  .
  . Ongezea…
  .
  Wacha liwe funzo.

Kutoboa nini? Hivi si ni juzi tu wakuu katika serikali kasema rais ako chonjo, busy na kuchapa kazi tu

Harbour na harbour hujaza key barber.
Asiyefunzwa na mama atafunzwa na Baba
Kinyesi cha mwanao hakinuki.