uncle wa madathi!!

uko chuo umetulia alafu pocket money inaisha …kidogokidogo unastua mzae…akutumie “1000 pckt mny” mzae na ile ujuaji yake anauliza “pckt mny” ni nini? unamchapia ni short form ya pocket money…kiac tu! unaskia kameso ka Mpesa kucheki ni 100.unashangaa kwani ametuma ya kutoa akasahau 1000, unaamua kuuliza.hii ni ya nini. unaskia ni short form ya 1000…hata wewe ukiwa studee utakosaje
kuchoma dorm??

4 Likes

was ist das pest?

Meffi

new villager,meffi wewe

1 Like

@wong tafuta kiti saizi yenu mkae…>>>>huko. mnatusumbua

Some how, I found it fanii…

Imeni niiice…Pitia pale room ya Ktalk Lexicon ujifunze mengi…

hahaha sawa

NV, asante sana kwa kujaribu kutuchekesha… lakini keti pale ------>[ATTACH=full]49639[/ATTACH]

1 Like