uncle uwes

ndio nimeamka hangover yangu najua ita check in saa tatu . nimeambia huyu mkikuyu anipikie mchele/wali beans na pilipili 50 . otherwise karibu pombe iniuwe jana . hangover ikikuom ntasema nimewacha pombe mkiona chokosh @Jirani mwambie uncle uwes amemsalimia sana

mbicha ?

1 Like

[ATTACH=full]48689[/ATTACH]

6 Likes

Friday nilikunywa karibu pombe iniangushe nikaamua naiwacha.

1 Like

NIAJE UNCLE GRUNDY

Poa sana Ango…siku izi unalost sana

vipi anko nangoja nyoka hizi side za kwenyu.

Usisahau kumeza ARV kabLa ulale unko

1 Like

Niko slum,rusha nyoka moja hii side

Uncle…walisema kwa meeting unirudishe telegram

1 Like

Uweskimwi, tulisema msinitaje taje heshimu hio star meffi

1 Like