uncle uwes

Nimeingia hapa county kuunda ground work ya baba na weta kesho wakiingia. Wamelala golf kakamega. So niko shariffs club nalala … mtu ako karibu kuja upewe Heineken mbili.

Siulale mboss, leo hakuna game

1 Like

Mbicha inasumbua ku upload

Weka mbisha usijitetee na peasant problems na wewe ni mbirionea.

1 Like

[ATTACH=full]40308[/ATTACH]

Uncle ismundu ndio hio usiniuwe peasant ni HOMOWEBDEV

1 Like

Pesa nimepewa ya kumake sure hecklers kesho wako kama 90 oparanya na jubilee mole Lusaka will be heckled . Senator weta na khalwale ndio wataongea na wazito wengine .

3 Likes

hizi tabia za kwingine mmefikisha bungoma?

3 Likes

Sharrif center hakuna meza kama hio ,lakini uncle kama uko bungoma tafuta club inaitwa Mississippi,you won’t be disappointed.

2 Likes

AHSANDE kuka . Hapa nacheza chini nakutana na ringleaders wa hecklers kesho Lusaka and oparanya will be humiliated vile walitupia Weta teargas kakamega

2 Likes

@Gio nimepika hio hapa BUNGOMA

[ATTACH=full]40310[/ATTACH]

6 Likes

Sasa unanipandisha kiu na niko sober na ni friday

1 Like

mimi aliiba prado yako ndio anaenda nyumbani
[ATTACH=full]40311[/ATTACH]

1 Like

Mwisiiii

3 Likes

Si ufungue Instagram page yako basi hii kijiji!! Sijawai elewa mbona wanaume hutafuta attention socialite style, mwanaume ni wallet!!! Acha nitulie tu, one day nitaitwa mkubwa, na si na watchman nikipark gari.

1 Like

Deàmakufuuchieth usijali mtoto wangu akifika 2years ntakuita umix hizo chieth zako

4 Likes

HII kijiji inashangaza ukiweka mbicha watu wa shida wanasema we ni sosolite usipoweka wazito wanasema wewe ni hekayamaster. MIT . TRENDSETTER . SO TUFANYE AJE?

Nini hatespeech tena Uwes, na vile tumetoka mbali? That was a statement to villagers. Sikizeni hii ktalk billionaires

https://www.youtube.com/watch?v=JcvEkCL6Py4

2 Likes

Uncle. …si nilisema mimi ndio nanunua gilbeys leo umeze…kwani umeniruka tenaaaa?

1 Like

Your okiyaish attempt has failed.