2 Likes
Uaaaaa. Lakini usijiue.
The perfect opportunity to parachute to the deepest corner of embobut. Akule lanye wote bila pressure
3 Likes
Road to self destruction
1 Like
Hehe, wife ame cheat and you’ve found out, si utoke tu jameni. Her mind is already made up, hakutaki. Alafu kwa hii dunia nani anataka mwanamke amtake, mwanaume ni kuheshimiwa. kama hakuna heshima jiondoe hata heri ufuge kuku za mayayi.
1 Like