unaruka fence

Unaruka fence ya neighbor kukamua maid alafu unapatana na hii jitu

https://www.youtube.com/watch?v=mwm0OwqWvF4

1 Like

Si unaanza nayo kabla ufikie maid.

1 Like

waah and its a Pit bull !

@junkie CREAMPIED ndiye ako na tabia ya kukamua mamboch

Hehe.meffi wewe

1 Like

Haha hio doggy ni dume

it’s all fun and games until the pitbull turns on their kid and it will kill him. Hizi doggy huwa na mood swings waseh…i know them very well

Hizo doggy ziko sawa shida ni wase wengi hawajui kukaa nazo.

Mseh i know a german couple wako na pitbull. These are pple who normally invite me kwao for a sunday lunch…i have known this pitbull since it was a puppy. Infact nkienda kwao pitbull ndo unisalimia mlangoni…kunilamba lamba mkono na kunirukia. Siku moja mseh nikiwa io mtaa for a lunch invite…hio couple wakakosana tukiwa pale mezani…matusi sijui…nini

Kidogo kidogo msee ametusiwa na mwoman…matusi ambayo ilimuingia…ile ya kuumiza…mseh anataka ku beat mama…si mimi jay ati najifanya okoa jahazi…nime shika ule msee frm behind na nkampiga ngeta…si kwa ubaya…ile prevention mode mwoman asipigwe

Wueh…sijui doggy nkama ilipigiwa okie tokie…ilikamu na ubaya…msee doggy nimeijua tangu ikuwe puppy…imenirukia joo na imeniuma mkono na haiwachilii…nko zile za Gido …ilikuwa inaitwa gido hio doggy…niwachilie…haiski…ilibidii huyo boy nlikuwa na prevent asichape wife agonge io gido buti ya macho…ndo ikaniwacha

Hio ilikuwa noma kile wase wengi hawajui kuhusu dogi ni kuwa ni pack animals ingawa wewe ulikuwa unadoo poa kuhelp hio doggy ilikuona kama wewe unaattack mse wa pack yake. Kama mwenye hio doggy angekuwa anajua kukaa na hio dog angekuwa anahajaa ya kugonga hio doggy ikuwachilie. Ukicheki hio video ya huyo msee unaona anacommand doggy iwache kubite msee na doggy inawacha mbio.
Nilikuwa na cheki progri inaatiwa dog whisperer huyo buda huwa anasema unafaa kuwa pack leader wa doggy

[ATTACH=full]47730[/ATTACH]

1 Like

[ATTACH=full]47822[/ATTACH] wee