Unapataje Telegram admins?

If I want something marketed on a Telegram channel, ntapata contact ya admin wapi?

Which channel?

Nimejua vile inafanywa

Admin si huwa ameacha username yake you can inbox him.

Si nadhani iko kwa channel info hapo