UNAONAJE..

…unaonaje twende kwa wazee
…mama unasemaje
…kibuti unipige
…ni uongo usiweze
…kwanini nidanganye
…eti naishi mbeze
…mwishowe nihumbuke

…kitanda ukamba
…na hatuna ujamaa
…dari utaisoma
…kila siku nakupiga migomba

[SIZE=1][in memory: @fardosa & B.S][/SIZE]

Naona my neighbor’s lawn ina nyasi sana, nkutaftie kazi huko? Bingwa Scrotum kujaza server na mefi.

2 Likes

mnuka tako wewe

1 Like

:D:D acha wewe, hujanusa langu.

tangia siku za scrotum bado tu wanuka

Shida yako na admin huwa nene? Siutulie uwe kijana mzuri nikuitie junkie ama Smith?

1 Like

:wink: wachana na hiyo stori

its not my fault; naonewa. Siruhusiwi haki nazostahili …nabanniwa kila saa kama chokora kuomba lifti kwa Rangerover …kila saa tu. Kila handle yangu ya.ban.iwa …kisa na maana, hata hamna kisa wala maana

1 Like

Hahahaha

@Wakanyama oka udeithie guthoma waganu iria iri haha.

Yawning!!! :confused::confused: